Cornelia Haas: Ndoto yangu nzuri sana kuliko zote – My Most Beautiful Dream (Kiswahili – Kiingereza)
Kitabu cha watoto cha lugha mbili, kwa miaka 2-3 na zaidi (Kiswahili – Kiingereza) Lulu hawezi kulala. Mwanasesere zake zote wanaota sasa – papa, tembo, panya mdogo, dragoni, kangaruu na kitoto cha s …