F. Wayne Mac Leod 
If Your Brother Sins – Swahili Edition: Uchunguzi Wa Kitabu Cha Mathayo 18 [EPUB ebook] 
15-17

Support

Hatupaswi kuyatelekeza matatizo kati ya waumini kama tunavyofanya kwa watoto wetu ndani ya familia zetu. Mara kwa mara hatutakubali kuona jinsi mambo yatakavyoendeshwa. Wakati mwingine tunatenda kwa hasira na kiburi. Haiba zetu hugongana. Watu huumizwa.Maandiko yamejaa mifano mingi ya migogoro kati ya waumini.

Bwana Mungu alijua kwamba jambo hili litaendelea kutokea, hivyo akatoa maelekezo ya jinsi gani tunaweza kulishughulikia jambo kama hili. Kwa upendeleo wa pekee hapa Yesu anatufundisha katika Mathayo 18:15-17. Katika kifungu hiki Yesu anatufundisha jinsi ya kuyashughulikia matatizo yanapotokea.

Mathayo 18 inatoa changamoto ya kuyashughulikia mambo kibinafsi yanapotokea katikati ya mahusiano yetu. Inaelekeza njia iliyo salama kwa ndugu walioanguka ili kupatana na kuwatia moyo waumini wachanga kiroho kuwatia moyo ndugu zao katika nyakati za matatizo.

€1.99
payment methods

Table of Content

Didiaji

1 – Kama Ndugu Yako Akitenda Dhambi

2 – Nenda Ukamwonyeshe Kosa Lake

3 – Mkiwa Wawili Peke Yenu

4 – Mashahidi Mmoja au Wawili

5 – Liambie Kanisa

6 – Kama Akidataa Kulisikiliza Kanisa

7 – Mtendee Kama Mpagani au Mtoza Ushuru

Buy this ebook and get 1 more FREE!
Format EPUB ● Pages 70 ● ISBN 9781927998458 ● File size 0.4 MB ● Publisher Light To My Path Book Distribution ● Published 2024 ● Edition 1 ● Downloadable 24 months ● Currency EUR ● ID 9962471 ● Copy protection Adobe DRM
Requires a DRM capable ebook reader

More ebooks from the same author(s) / Editor

141,046 Ebooks in this category