Mfariji si kitabu tu kingine cha theolojia, bali ni mwongozo unaofaa sana na muhimu wa kuingia katika njia ya maisha yenye kujaa na kuongozwa na Roho. Wale walio na shauku ya kumjua Roho Mtakatifu kwa undani na kupata uzoefu Wake watabarikiwa watakapousoma uchanganuzi wa Dkt. Bailey wa mambo saba yanayomhusu Roho Mtakatifu:
- Nafsi Hai ya Roho Mtakatifu
- Huduma ya Roho Mtakatifu
- Roho Saba za Bwana
- Ubatizo wa Roho Mtakatifu
- Karama Tisa za Roho Mtakatifu
- Matunda Tisa ya Roho Mtakatifu
- Maisha Yaliyojaa na Kuongozwa na Roho Mtakatifu
¡Compre este libro electrónico y obtenga 1 más GRATIS!
Formato EPUB ● ISBN 9781596658998 ● Tamaño de archivo 2.2 MB ● Editorial Zion Christian Publishers ● Publicado 2021 ● Descargable 24 meses ● Divisa EUR ● ID 7859910 ● Protección de copia sin