Katika hadith hii ya kusisimua ya wakati wa kulala, msichana mdogo anamzungumzia mama yake kwa nini ni mzuri.Tunamwona akipitia siku yake akiwa amebeba hisia mwanana kuhusu mama yake.
Mama mara zote anajua jinsi anavyohisi na anaweza kumsaidia katika kila tatizo. Mama anaweza kusuka mitindo migumu na anaeleza kuhusu sehemu; Mama anaweza kumsaidia kuamka nasubuhi na kumkumbatia akiwa hana furaha.
Kwa mifano vielelezo na ujumbe kwa kila atakayehusianisha , hiki ni kitabu sahihi kwa watoto na mama zao
¡Compre este libro electrónico y obtenga 1 más GRATIS!
Formato EPUB ● Páginas 34 ● ISBN 9781525987762 ● Tamaño de archivo 2.7 MB ● Editorial KidKiddos Books ● Publicado 2024 ● Descargable 24 meses ● Divisa EUR ● ID 9342705 ● Protección de copia sin