Mioyo Iliyojeruhiwa na Mabenchi Tupu Kanisani
· Ni kipi husababisha watu kuyahama makanisa yao?
· Je, ni haki wakati wote kulihama kanisa?
· Je, mipasuko yote kanisani ni mibaya?
· Utahamaje kanisa wakati kuhama inaonekana ni kitu cha lazima?
· Je, utatibu namna gani kutoka mhemuko na maumivu ya kiroho ambayo kutokana na migawanyiko ya kuchukiza na isiyopendeza?
Ingawa haya sio maswali rahisi kuyajibu, uhakika wa mgawanyiko na mpasuko wa Makanisa kwenye makanisa uko bayana. Majaribio ya somo hili ni kukuchunguza jambo hili kwa upole na kutoa baadhi ya Mwongozo wa Kibiblia wa kulishughulika nakupitia hili mapambano ya kawaida tunayohisi katika kanisa la siku za leo.
About the author
Swahili Bio for Back Cover F. Wayne Mac Leod alizaliwa Sydney Mines, Nova Scotia, Canada na alikasoma Ontario Bible College, Chuo kikuu cha Waterloo na Ontario Theological Seminary. Aliwekewa mikono katika kanisa la Baptist Hespeler huko Cambridge, Ontario Mwaka 1991. Yeye na Mke wake Diana walitumika kama Wamishenari na shirika lililoitwa Africa Evangelical Fellowship katika Visiwa vya Mauritania na Reunion katika bahari ya hindi tangu mwaka 1985 – 1993 ambapo Wayne alikuwa anafanyakazi ya Maendeleo ya kanisa na kufundisha Viongozi. Kwa sasa anafanya huduma ya uandishi wa Vitabu na ni Mwanachana wa Action International Ministries.