F. Wayne Mac Leod 
Not What I Expected Swahili Edition: Wakati Maisha Yasipobadilika Kama Ulivyotarajia Mafunzo Kutoka Kitabu Cha Kutoka 16 [EPUB ebook] 
3

Dukung

Wakati maisha yasipobadilika kama uylivyotarajia mafunzo Kotoka kitabu cha Kutoka 16:3

Kama tukiwa wakweli kabisa, kwamba mara zote maisha hayajawa vile tulivyo tarajia, Kama vijana tulitarajia maisha yenye mambo makubwa na Mapenzi motomoto muda wote. Imebaki kama simulizi kwamba hayo ndo yaliyopaswa kuwa maisha yetu, uhalisia umebadili kila mpango.

Taifa la Israeli pia walikuwa na mawazo yao jinsi uhuru utakavyokuwa kutoka kwenye kifungo cha Misri na shauku kubwa juu y kile Mungu atakachowafanyia. Kutoka 16:3 ina mambo mengi ya kutuambia kuhusu matarajio ya Waisraeli na Imani juu ya Mungu.

€1.99
cara pembayaran

Daftar Isi

Utangulizi

Sura ya 1 – Mazingira Ambamo Jambo Lilitokea.

Sura ya 2 – Maisha Sio Rahisi

Sura ya 3 – Mwili Usioridhika.

Sura ya 4 Makali Ya Uponyaji

Sura ya 5 – Watu Katika Maisha Yangu

Sura ya 6 – Imani Kwenye Malengo Ya Mungu

Sura ya 7 – Hitimisho No Matumizi

Tentang Penulis

F. Wayne Mac Leod alizaliwa Sydney Mines, Nova Scotia, Canada na alikasoma Ontario Bible College, Chuo kikuu cha Waterloo na Ontario Theological Seminary. Aliwekewa mikono katika kanisa la Baptist Hespeler huko Cambridge, Ontario Mwaka 1991. Yeye na Mke wake Diana walitumika kama Wamishenari na shirika lililoitwa Africa Evangelical Fellowship katika Visiwa vya Mauritania na Reunion katika bahari ya hindi tangu mwaka 1985 – 1993 ambapo Wayne alikuwa anafanyakazi ya Maendeleo ya kanisa na kufundisha Viongozi. Kwa sasa anafanya huduma ya uandishi wa Vitabu na ni Mwanachana wa Action International Ministries.

Beli ebook ini dan dapatkan 1 lagi GRATIS!
Format EPUB ● Halaman 51 ● ISBN 9781927998472 ● Ukuran file 0.2 MB ● Penerbit Light To My Path Book Distribution ● Diterbitkan 2024 ● Edisi 1 ● Diunduh 24 bulan ● Mata uang EUR ● ID 9979846 ● Perlindungan salinan Adobe DRM
Membutuhkan pembaca ebook yang mampu DRM

Ebook lainnya dari penulis yang sama / Editor

141,046 Ebooks dalam kategori ini