Hichi kitabu kinahusu jinsi ya kupunguza upatikanaji wako ili kumfanya mwanaume wako aogope kukupoteza
Tafakari kuhusu hisia zako. Jiulize kwanini unataka kumpuuza mwanaume wako. Je mmegombana? Amekuwa mgumu kuzungumza na wewe? Zingatia kwanini kutenda au kutotenda kwake jambo fulani kunakuudhi. Je wewe peke yako ndiye unayewekeza juhudi kwenye mahusiano yenu? Kumbuka, kama mwanadamu mwenye uhuru, una haki ya kuumia, kuwa na hasira, kukasirika, au kupuuzwa.
PUBLISHER: TEKTIME
Acquista questo ebook e ricevine 1 in più GRATIS!
Formato EPUB ● ISBN 9788835441144 ● Dimensione 0.1 MB ● Casa editrice Tektime ● Pubblicato 2022 ● Scaricabile 24 mesi ● Moneta EUR ● ID 8473842 ● Protezione dalla copia senza