Kitabu hiki cha watoto kinawahimiza kuwajibika na kukitunza chumba chao. Fuatilia safari ya sungura mdogo Jimmy na ndugu zake wanavyojifunza kupitia kitabu hiki chenye michoro. Wanajifunza kufanya kazi kwa pamoja, kukisafisha chumba chao, na kuvipanga vijidude vyao.
Hadithi hii inaweza kuwa nzuri kusomwa kwa watoto wako kabla ya kulala na inaweza kuwa ya kufurahisha kwa familia nzima pia!
Acquista questo ebook e ricevine 1 in più GRATIS!
Formato EPUB ● Pagine 34 ● ISBN 9781525980831 ● Dimensione 2.0 MB ● Casa editrice KidKiddos Books ● Pubblicato 2023 ● Scaricabile 24 mesi ● Moneta EUR ● ID 9218263 ● Protezione dalla copia senza