KidKiddos Books & Shelley Admont 
Napenda kukitunza chumba changu kiwe safi I Love to Keep My Room Clean [EPUB ebook] 

Support

Kitabu hiki cha watoto kinawahimiza kuwajibika na kukitunza chumba chao. Fuatilia safari ya sungura mdogo Jimmy na ndugu zake wanavyojifunza kupitia kitabu hiki chenye michoro. Wanajifunza kufanya kazi kwa pamoja, kukisafisha chumba chao, na kuvipanga vijidude vyao.
Hadithi hii inaweza kuwa nzuri kusomwa kwa watoto wako kabla ya kulala na inaweza kuwa ya kufurahisha kwa familia nzima pia!

€6.39
payment methods
Buy this ebook and get 1 more FREE!
Format EPUB ● Pages 34 ● ISBN 9781525980862 ● File size 2.4 MB ● Publisher KidKiddos Books ● Published 2023 ● Downloadable 24 months ● Currency EUR ● ID 9225080 ● Copy protection without

More ebooks from the same author(s) / Editor

58,181 Ebooks in this category