Jimmy sungura mdogo kaingia kwenye matatizo. kwa bahati mbaya, aliharibu maua ya mama anayoyapenda. je itasaidia akidanganya? au ni bora kusema ukweli na kujaribu kutatua tatizo kwa njia tofauti?
Wasaidie watoto wako wajifunze kuwa waaminifu zadi na kitabu hiki cha kufurahisha cha watoto
Buy this ebook and get 1 more FREE!
Format EPUB ● Pages 34 ● ISBN 9781525987670 ● File size 1.9 MB ● Publisher KidKiddos Books ● Published 2024 ● Downloadable 24 months ● Currency EUR ● ID 9342703 ● Copy protection without