Matthias Fiedler 
Wazo la Kiubunifu la Uambatanishaji wa Mali Isiyohamishika: Uwakala wa Mali Isiyohamishika Ukirahishishwa: Uambatanishaji wa mali isiyohamishika [EPUB ebook] 
Uwakala mwepesi na rahisi wa Mali Isiyohamishika kwa kutumia jukwaa la kiubunifu la Uambatanishaji wa Mali Isiyohamishika

Sokongan

Kitabu hiki kinaeleza wazo la kimageuzi la jukwaa (app) la uambatanishaji wa mali isiyohamishika duniani kote likipiga hesabu ya mauzo yanayowezekana (Dola Bilioni), ambalo limeshirikishwa kwenye programu ya wakala wa mali isiyohamishika likijumuisha tathmini ya mali isiyohamishika (uwezo wa mauzo ya Dola Trilioni).
Hii yamaanisha kwamba mali isiyohamishika za kukodesha na ya nyumba za kibiashara, ama ambayo mmiliki anaishi ndani au iliyokodishwa, yaweza kufanyiwa uwakala ifaafyo na katika njia yenye kukomboa mda.  Hii ndiyo siku za baadaye za uwakala wenye ubunifu na kiutaalamu wa mali isiyohamishika kwa maajenti wote wa mali isiyohamishika na wamiliki wa mali. Uambatanishaji wa mali isiyohamishika hufanyika nusra katika mataifa yote na hata kote katika mataifa.  

Badala ya ‘kumletea’ mali mnunuzi au mkopeshaji, kukiwa na jukwaa la uambatanishaji wa mali isiyohamishika, wanunuzi wanaotaka au wakodeshaji wanaweza kuhitimishwa (saka profaili) na kisha wakaambatanishwa na kuunganisha na mali inayopeanwa na maajenti wa mali isiyohamishika. 

€9.49
cara bayaran
Beli ebook ini dan dapatkan 1 lagi PERCUMA!
Format EPUB ● Halaman-halaman 38 ● ISBN 9783947128594 ● Saiz fail 1.8 MB ● Penerbit CENTAURUS ONE LTD. ● Diterbitkan 2017 ● Edisi 1 ● Muat turun 24 bulan ● Mata wang EUR ● ID 5478489 ● Salin perlindungan Adobe DRM
Memerlukan pembaca ebook yang mampu DRM

Lebih banyak ebook daripada pengarang yang sama / Penyunting

256,872 Ebooks dalam kategori ini