Muziki na Ibada yenye upako ni kitabu cha mwongozo wa kuukuza mtiririko wa kuabudu katika maisha yako na huduma kulingana na muundo tuliopewa na maandiko. Mchungaji Holmes anaonyesha mchanganyiko wa viungo muhimu, kama vile usafi, uhuru, furaha na amani, ambavyo vinahitajika katika ibada yetu ya kiroho. Wasomaji watagundua jinsi ambavyo Mungu anatafuta watu watakaomwabudu yeye katika roho na kweli, na kwamba tunaweza kuwa watu wenye kuufurahisha moyo wa Mungu kwa kuwa waabudu halisi wenye kuingia katika uzoefu mkubwa zaidi wa uwepo wake wa utukufu.
Cumpărați această carte electronică și primiți încă 1 GRATUIT!
Format EPUB ● Pagini 151 ● ISBN 9781596657496 ● Mărime fișier 3.1 MB ● Editura Zion Christian Publishers ● Publicat 2024 ● Descărcabil 24 luni ● Valută EUR ● ID 9697789 ● Protecție împotriva copiilor fără