Hadithi fupi iliyoandikwa na LS Morgan
Hadithi inayovutia na ya kushangaza, ambayo inatuongoza kwa hisia za kina na maswali ya thamani. Msichana mmoja wa miaka minane aliishi akiwa na maumivu, upotevu na hisia za kindani, na tunachukuliwa kwa safari kurudi kwenye kumbukumbu zake hadi mahali pa kumbukumbu zenye uchungu lakini pia za upendo: nyumbani kwake.
Köp den här e-boken och få 1 till GRATIS!
Formatera EPUB ● Sidor 20 ● ISBN 9788835425861 ● Filstorlek 0.3 MB ● Översättare Kennedy Cheruyot Langat ● Utgivare Tektime ● Stad Montefranco ● Land IT ● Publicerad 2021 ● Nedladdningsbara 24 månader ● Valuta EUR ● ID 7879106 ● Kopieringsskydd utan