Amy Blankenship 
Vitu Hatari [EPUB ebook] 
Mfululizo Wa Vitabu Vya Kuunganishwa Kwa Damu Kitabu Cha 3

Destek

Steven Wilder aliuangukia ile fimbo ya yule msichana kwa njia nyingi kando na kuanguka sakafuni… alitaka kumueka. Alipotambua kuwa alikuwa ameahidiwa kwa yule kiongozi wa umati ulimpa sababu aliyoitaka ili kumteka nyara na kumfanya mwenzake… kwa ulinzi wake mwenyewe.
Kila mmoja husema kuwa kuna njia mbili katika maisha, lakini kwa Jewel Scott, ilionekana kama zote zilikuwa hatari sana. Moja iliongoza hadi kwa Anthony, mbweha-mtu aliyekuwa na wazimu wa kuuwa watu, aliyekuwa pia kichwa cha umati na mchumba wake… kinyume na matakwa yake. Njia ile nyengine inaongoza hadi kwa Steven, simba-mtu aliye mpiga kwa gongo la mpira wa besiboli walipokutana mara ya kwanza. Aliitikia kwa kumteka nyara na kumfanya mwenzake.
Steven Wilder aliuangukia ile fimbo ya yule msichana kwa njia nyingi kando na kuanguka sakafuni… alitaka kumueka. Alipotambua kuwa alikuwa ameahidiwa kwa yule kiongozi wa umati ulimpa sababu aliyoitaka ili kumteka nyara na kumfanya mwenzake… kwa ulinzi wake mwenyewe.
Anthony Valachi alimtamani Jewel kupita kiasi wakati alipokuwa ni zaidi tu ya mtoto, na kwa sheria za umati, alishika usikani wa bibi harusi wake. Ikiwa mtu yeyote alifikiri kuwa wangemuiba kutoka kwake walikuwa wamekosea… kosea kabisa.

€3.99
Ödeme metodları
Bu e-kitabı satın alın ve 1 tane daha ÜCRETSİZ kazanın!
Biçim EPUB ● Sayfalar 413 ● ISBN 9788835464464 ● Dosya boyutu 0.3 MB ● Yaş 22-99 yıl ● Çevirmen Pendo Amani ● Yayımcı Tektime ● Kent Jakarta ● Ülke ID ● Yayınlanan 2024 ● İndirilebilir 24 aylar ● Döviz EUR ● Kimlik 9398182 ● Kopya koruma olmadan

Aynı yazardan daha fazla e-kitap / Editör

296.803 Bu kategorideki e-kitaplar