Wahusika wachanga wa hadithi hii wameambiwa na familia zao kwamba kutoka sasa watu wote watahitaji kuvaa barakoa za kinga na watahitaji kukaa mbali mmoja kwa mwingine.
Wakiwa na barakoa mpya kwenye nyuso zao, hawo vijana wanaamua kwenda kwenye duka la aiskrimu na wazazi wao. Wanaona ni mzaha watu wazima mitaani wakivalia kofia za ajabu kama ukumbusho wa hizo sheria mpya. Kwa hali yoyote, ile utumizi wa barakoa na kutotangamana na watu haziwafadhaishi, na furaha yao inazidi wan...
关于作者
Deana Sobel Lederman ni mwandishi na mchoraji. Bibi yake alikuwa mchoraji ambaye alisomea kwenye chuo kiitwacho The Art Students League of New York. Alimfundisha Deana kuhusu u...
购买此电子书可免费获赠一本!
格式 EPUB ● 网页 28 ● ISBN 9781636070513 ● 文件大小 4.3 MB ● 年龄 17-10 年份 ● 出版者 CALEC ● 发布时间 2020 ● 版 1 ● 下载 24 个月 ● 货币 EUR ● ID 8651883 ● 复制保护 Adobe DRM
需要具备DRM功能的电子书阅读器