Jimmy na ndugu zake wanapenda kucheza, na leo ni siku ya kuzaliwa kwake Jimmy. Kwa hivyo ana wanasesere wengi. Hata hivyo hapendi kugawa na ndugu zake, anaweza kukosa kujiburudisha. Hebu tujue inamaanisha nini kugawana, na kwa nini kinatufanya tuhisi vizuri zaidi!
Hadithi hii inaweza kuwa bora kwa kusoma kwa watoto wako wakati wa kulala na ya kufurahisha familia nzima pia!
购买此电子书可免费获赠一本!
格式 EPUB ● 网页 34 ● ISBN 9781525987618 ● 文件大小 2.2 MB ● 出版者 KidKiddos Books ● 发布时间 2023 ● 下载 24 个月 ● 货币 EUR ● ID 9242898 ● 复制保护 无