Peter Gotthardt 
Hatima ya Vibwengo 1: Wanajeshi Shupavu [EPUB ebook] 

支持

Adui mwenye nguvu aliwasili kwenye nchi ya Vibwengo. Alitaka kumfanya mtumwa kila mtu anayeishi pale. Ikiwa Vibwengo wataokoka, watahitaji vyote ujasiri na matumaini.
Vibwengo walilikimbia jeshi la adui, na walilazimishwa kujificha msituni. Deizi akawa rafiki wa Kibwengo mdogo anayeitwa Humulus. Kwa pamoja, wakafanya ugunduzi ambao uliwawezesha Vibwengo kujibu mashambulizi dhidi ya adui. Je, watakuwa na nguvu ya kutosha?
Hiki ni kitabu cha kwanza katika mfululizo wa vitabu vinne vya ‘Hatima ya Vibwengo.’ Visome vitabu vyote katika mfululizo:
Wanajeshi Shupavu
Moyo wa Jabali
Makaburi Yaliyosahaulika
Filimbi ya Kichawi

€4.99
支付方式

关于作者

Peter Gotthardt alizaliwa nchini Denmark karibu na Copenhagen mwaka 1946. Akiwa mtoto alipenda kusoma, na alitumia muda wake mwingi kujisomea katika maktaba za mkusanyiko wa vitabu vya historia na matukio.
Gotthardt ameandika zaidi ya vitabu 60 vya watoto ambapo vingi vimejikita kwenye uwanja wa Vibwengo.

购买此电子书可免费获赠一本!
格式 EPUB ● 网页 17 ● ISBN 9788726254594 ● 文件大小 0.2 MB ● 年龄 17-7 年份 ● 翻译者 SAGA Egmont ● 出版者 SAGA Egmont ● 市 Copenhagen ● 国家 DK ● 发布时间 2019 ● 下载 24 个月 ● 货币 EUR ● ID 7265809 ● 复制保护 社会DRM

来自同一作者的更多电子书 / 编辑

2,434 此类电子书