Peter Gotthardt 
Hatima ya Vibwengo 2: Moyo wa Jabali [EPUB ebook] 

支持

Adui mwenye nguvu aliwasili kwenye nchi ya Vibwengo. Alitaka kumfanya mtumwa kila mtu anayeishi pale. Ikiwa Vibwengo wataokoka, watahitaji vyote ujasiri na matumaini.
Mkwamba unataka kusaidia wakati wa mapigano dhidi ya maadai wa Vibwengo. Lakini Deizi hakufikiria kuwa ni mkubwa vya kutosha. Mkwamba haujakata tamaa. Pamoja na Mzaha, Kijana wa Zimwi aliinyemelea kambi ya adui. Walikuwa na mpango. Lakini wataweza kuendelea kujificha dhidi ya Makonde ya Chuma na majitu ya kutisha ya mfalme?
Hiki ni kitabu cha pili katika mfululizo wa vitabu vinne vya ‘Hatima ya Vibwengo.’ Visome vitabu vyote katika mfululizo:
Wanajeshi Shupavu
Moyo wa Jabali
Makaburi Yaliyosahaulika
Filimbi ya Kichawi

€4.99
支付方式

关于作者

Peter Gotthardt alizaliwa nchini Denmark karibu na Copenhagen mwaka 1946. Akiwa mtoto alipenda kusoma, na alitumia muda wake mwingi kujisomea katika maktaba za mkusanyiko wa vitabu vya historia na matukio.
Gotthardt ameandika zaidi ya vitabu 60 vya watoto ambapo vingi vimejikita kwenye uwanja wa Vibwengo.

购买此电子书可免费获赠一本!
格式 EPUB ● 网页 17 ● ISBN 9788726254587 ● 文件大小 0.2 MB ● 年龄 17-7 年份 ● 翻译者 SAGA Egmont ● 出版者 SAGA Egmont ● 市 Copenhagen ● 国家 DK ● 发布时间 2019 ● 下载 24 个月 ● 货币 EUR ● ID 7265808 ● 复制保护 社会DRM

来自同一作者的更多电子书 / 编辑

2,518 此类电子书