KidKiddos Books & Shelley Admont 
Ninapenda kulala katika kitanda changu mwenyewe I Love to Sleep in My Own Bed [EPUB ebook] 

Support

Jimmy, sungura mdogo, hataki kulala kitandani mwake mwenyewe. Kila usiku ananyemelea chumbani mwa wazazi wake na kulala kitandani mwao. Hadi usiku mmoja kitu kisichotarajiwa kilipotokea…. Hadithi hii inaweza kuwa nzuri kusomwa kwa watoto wako kabla ya kulala na kuifurahisha jamii nzima pia! Inafaa kusomwa kwa sauti kwa watoto wa chekechea au kwa watoto wakubwa kujisomea wenyewe.

€6.39
méthodes de payement
Achetez cet ebook et obtenez-en 1 de plus GRATUITEMENT !
Format EPUB ● Pages 34 ● ISBN 9781525980954 ● Taille du fichier 2.1 MB ● Maison d’édition KidKiddos Books ● Publié 2023 ● Téléchargeable 24 mois ● Devise EUR ● ID 9274556 ● Protection contre la copie sans

Plus d’ebooks du même auteur(s) / Éditeur

58 181 Ebooks dans cette catégorie