Jimmy, sungura mdogo, hataki kulala kitandani mwake mwenyewe. Kila usiku ananyemelea chumbani mwa wazazi wake na kulala kitandani mwao. Hadi usiku mmoja kitu kisichotarajiwa kilipotokea…. Hadithi hii inaweza kuwa nzuri kusomwa kwa watoto wako kabla ya kulala na kuifurahisha jamii nzima pia! Inafaa kusomwa kwa sauti kwa watoto wa chekechea au kwa watoto wakubwa kujisomea wenyewe.
购买此电子书可免费获赠一本!
格式 EPUB ● 网页 34 ● ISBN 9781525980954 ● 文件大小 2.1 MB ● 出版者 KidKiddos Books ● 发布时间 2023 ● 下载 24 个月 ● 货币 EUR ● ID 9274556 ● 复制保护 无