Kwa namna yoyote ile historia ya Kaini katika kitabu cha Mwanzo 4:16 ni historia yetu. Ni historia ya uhasi wa mtu na aliye kuwa mbali na uwepo wa Mungu. Kama tunavyo muona Kaini akiondoka katika uwepo wa Mungu inatusaidia kujua jinsi gani majaribu yetu yanatuweka mbali na ukamilifu wa baraka za Mungu . Tunatambua jinsi gani tunapambana na vivutio vya ulimwengu na mioyo yetu yenye dhambi.
Kifungu hichi, kwanamna nyingine , ni zaidi ya historia ya uhasi wa Kaini. Bali ni ufunuo wa moyo wa Mungu juu ya watu wake kwa ujumla. Tuliumbwa kuishi kwenye Bustani ya Edeni. Lakini dhambi ikaondoa haki ya sisi kukaa katika ukamilifu wa Edeni, Bwana wetu Yesu kristo amerudisha haki hii kwa kifo chake na kufufuka kwaajili yetu. Baraka na haki za Edeni zipo kwa mtu yeyote atakae pokea msamaha kupitia Bwana Yesu.
Tabela de Conteúdo
DIBAJI
SURA YA 1 – UTANGULIZI NA YALIYOMO
SURA YA 2 – KAINI
SURA YA 3 – KAINI AKAONDOKA
SURA YA 4 – UWEPO WA BWANA
SURA YA 5 – KUISHI KATIKA ARIDHI YA NODI
SURA YA 6 – MASHARIKI MWA EDENI
SURA YA 7 – KUISHI KATIKA UTIMILIFU WA EDENI
Sobre o autor
F. Wayne Mac Leod was born in Sydney Mines, Nova Scotia, Canada, and received his education at Ontario Bible College, University of Waterloo, and Ontario Theological Seminary. He was ordained at Hespeler Baptist Church in Cambridge, Ontario in 1991. He and his wife served as missionaries on the islands of Mauritius and Reunion from 1985-1993 where Wayne was engaged in church development and leadership training. Wayne is currently a full-time missionary serving with Action International Ministries.