Tangu awali mbele zaidi ya ‘taaluma ya matibabu’ kuwa ya kutegemewa hata kwa njia kidogo ukilinganisha na ilivyo leo, binadamu alitegemea matibabu ya mitishamba. Watu wengi walikuwa na maarifa kidogo ya uwezo wa mimea iliyokua karibu na makao yao, na wanawake wakongwe ndio walielewa faida za mimea hii zaidi ya watu wengine wote. Wanawake hawa mara nyingi wanajulikana kama wenye busara. Ijapokuwa, wao ndio baadaye waliteswa na makanisa yaliyoimarika wakichukuliwa kuwa wachawi. Watu waliokuwa na maarifa ya hali ya juu kuhusu mimea ya maeneo yao walitegemewa sana na jamii, na waliokuwa na uwezo zaidi wangeagiza mitishamba kutoka kwa maeneo ya mbali zaidi. Maarifa hii haijapotea, walakini ni wanaume na wanawake wachache wa kisasa walio nayo, tofauti na vizazi vya wazazi na mababu zao. Inaweza semekana ya kwamba maarifa haya yanafifia.
Ninatumai ya kwamba utayaona maarifa yaliyomo kuwa ya manufaa. Tangu awali mbele zaidi ya ‘taaluma ya matibabu’ kuwa ya kutegemewa hata kwa njia kidogo ukilinganisha na ilivyo leo, binadamu alitegemea matibabu ya mitishamba. Watu wengi walikuwa na maarifa kidogo ya uwezo wa mimea iliyokua karibu na makao yao, na wanawake wakongwe ndio walielewa faida za mimea hii, zaidi ya watu wengine wote. Wanawake hawa mara nyingi wanajulikana kama wenye busara. Ijapokuwa, wao ndio baadaye waliteswa na makanisa yaliyoimarika wakichukuliwa kuwa wachawi. Watu waliokuwa na maarifa ya hali ya juu kuhusu mimea ya maeneo yao walitegemewa sana na jamii, na waliokuwa na uwezo zaidi wangeagiza mitishamba kutoka kwa maeneo ya mbali zaidi. Maarifa hii haijapotea, walakini ni wanaume na wanawake wachache wa kisasa walio nayo, tofauti na vizazi vya wazazi na mababu zao. Inaweza semekana ya kwamba maarifa haya yanafifia. Hata hivyo, pamekuwa na ufufuo wa hamu ya kujua matibabu ya kale, mara nyingi inayojulikana kama tiba za kitamaduni, tiba mbadala au tiba ya asili. Kuna sababu nyingi za jambo hili. Baadhi yake yaweza kuwa kupotea kwa uaminifu wa mfumo ulioko na kutoamini watangazaji; bei ya juu ya madawa ya kisasa; ugumu ambao unaongezeka wa kuweza kutembelea daktari; athari zinayotokana na nguvu ya madawa ya kemikali; na pia kuongezeka kwa hamu ya kurudi kwa maisha isiotegemea kemikali sana. Bila kujali sababu yako ya kupendezwa na mada hii, natumaini ya kwamba utafurahia kijitabu hiki. Maandishi ya kitabu hiki cha mtandao kuhusu namna mbalimbali za tiba za kinyumbani za kitamaduni na mawazo hanayohusiana, kimepangwa kwa sura 19 za takriban maneno 500-600 kila sura.
Owen Jones
Tiba Za Kinyumbani Za Kitamaduni [EPUB ebook]
Njia Mbadala Za Matibabu Ya Kisasa
Tiba Za Kinyumbani Za Kitamaduni [EPUB ebook]
Njia Mbadala Za Matibabu Ya Kisasa
Cumpărați această carte electronică și primiți încă 1 GRATUIT!
Format EPUB ● Pagini 66 ● ISBN 9788835454960 ● Mărime fișier 0.2 MB ● Traducător Ephraim Kamau Njoroge ● Editura Tektime ● Publicat 2023 ● Descărcabil 24 luni ● Valută EUR ● ID 9120319 ● Protecție împotriva copiilor fără