Mara nyingi, Wakristo wengi hawaitambui sauti ya Mungu au hudanganyika kufikiri kwamba sauti nyingine ni sauti ya Mungu. Mchungaji Tucker atawatia moyo wasomaji kwamba kwa kweli wanaweza kuisikia sauti ya Mungu kibinafsi. Atayajibu maswali haya:
- Jinsi gani tunaweza kuijua sauti ya Mungu?
- Jinsi gani tunaweza kuitofautisha sauti ya Mungu na sauti nyingine nyingi duniani?
- Jinsi gani tunaweza kuepukana na udanganyifu?
- Kuna uhusiano gani kati ya kuisikia sauti Yake na imani, haki na hekima?
Köp den här e-boken och få 1 till GRATIS!
Formatera EPUB ● ISBN 9781596658981 ● Filstorlek 5.1 MB ● Utgivare Zion Christian Publishers ● Publicerad 2021 ● Nedladdningsbara 24 månader ● Valuta EUR ● ID 7823554 ● Kopieringsskydd utan