Imani Ya Mtu Winguine
Je, imani unayodai ni yako kweli?
Je, unajaribu kwenda mbinguni kwa nguvu za mtu mwingine?
Je, imani yako ni yako kweli au unaamini tu kile ambacho mtu mwingine alikuambia uamini?
Je, unajaribu kutumia karama za kiroho za mtu mwingine?
Watu wengine wanafuata Ukristo lakini hawana imani binafsi. Watu hawa huamini tu kile mtu mwingine anachowaambia kuamini. Kitabu hiki kitakupa changamoto ya kuuliza swali: Je, imani ninayokiri ni yangu kweli?
Tabela de Conteúdo
1 – Kwenda Mbinguni kwa Mabega ya mtu Mwingine
2 – Kuishi Kwa Kiwango cha mtu Mwingine
3 – Kuamini Mapokeo ya Mtu Mwingine
4 – Kutumia Karama ya Mtu Mwi...
Sobre o autor
F. Wayne Mac Leod alizaliwa Sydney Mines, Nova Scotia, Canada na alikasoma Ontario Bible College, Chuo kikuu cha Waterloo na Ontario Theological Seminary. Aliwekewa mi...