Imani Ya Mtu Winguine
Je, imani unayodai ni yako kweli?
Je, unajaribu kwenda mbinguni kwa nguvu za mtu mwingine?
Je, imani yako ni yako kweli au unaamini tu kile ambacho mtu mwingine alikuambia uamini?
Je, unajaribu kutumia karama za kiroho za mtu mwingine?
Watu wengine wanafuata Ukristo lakini hawana imani binafsi. Watu hawa huamini tu kile mtu mwingine anachowaambia kuamini. Kitabu hiki kitakupa changamoto ya kuuliza swali: Je, imani ninayokiri ni yangu kweli?
Cuprins
1 – Kwenda Mbinguni kwa Mabega ya mtu Mwingine
2 – Kuishi Kwa Kiwango cha mtu Mwingine
3 – Kuamini Mapokeo ya Mtu Mwingine
4 – Kutumia Karama ya Mtu Mwingine
5 – Kudumisha Mapokeo ya mtu Mwingine
6 – Kutegemea Uwezo wa Mwingine
7 – Kuifanya Imani Iwe Yako
Despre autor
F. Wayne Mac Leod alizaliwa Sydney Mines, Nova Scotia, Canada na alikasoma Ontario Bible College, Chuo kikuu cha Waterloo na Ontario Theological Seminary. Aliwekewa mikono katika kanisa la Baptist Hespeler huko Cambridge, Ontario Mwaka 1991. Yeye na Mke wake Diana walitumika kama Wamishenari na shirika lililoitwa Africa Evangelical Fellowship katika Visiwa vya Mauritania na Reunion katika bahari ya hindi tangu mwaka 1985 – 1993 ambapo Wayne alikuwa anafanyakazi ya Maendeleo ya kanisa na kufundisha Viongozi. Kwa sasa anafanya huduma ya uandishi wa Vitabu na ni Mwanachana wa Action International Ministries.