F. Wayne Mac Leod 
If Your Brother Sins — Swahili Edition: Uchunguzi Wa Kitabu Cha Mathayo 18 [EPUB ebook] 
15-17

поддержка

Hatupaswi kuyatelekeza matatizo kati ya waumini kama tunavyofanya kwa watoto wetu ndani ya familia zetu. Mara kwa mara hatutakubali kuona jinsi mambo yatakavyoendeshwa. Wakati mwingine tunatenda kwa hasira na kiburi. Haiba zetu hugongana. Watu huumizwa.Maandiko yamejaa mifano mingi ya migogoro kati ya waumini.

Bwana Mungu alijua kwamba jambo hili litaendelea kutokea, hivyo akatoa maelekezo ya jinsi gani tunaweza kulishughulikia jambo kama hili. Kwa upendeleo wa pekee hapa Yesu anatufundisha katika Mathayo 18:15-17. Katika kifungu hiki Yesu anatufundisha jinsi ya kuyashughulikia matatizo yanapotokea.

Mathayo 18 inatoa changamoto ya kuyashughulikia mambo kibinafsi yanapotokea katikati ya mahusiano yetu. Inaelekeza njia iliyo salama kwa ndugu walioanguka ili kupatana na kuwatia moyo waumini wachanga kiroho kuwatia moyo ndugu zao katika nyakati za matatizo.

€1.99
Способы оплаты

Содержание

Didiaji

1 — Kama Ndugu Yako Akitenda Dhambi

2 — Nenda Ukamwonyeshe Kosa Lake

3 — Mkiwa Wawili Peke Yenu

4 — Mashahidi Mmoja au Wawili

5 — Liambie Kanisa

6 — Kama Akidataa Kulisikiliza Kanisa

7 — Mtendee Kama Mpagani au Mtoza Ushuru

Купите эту электронную книгу и получите еще одну БЕСПЛАТНО!
Формат EPUB ● страницы 70 ● ISBN 9781927998458 ● Размер файла 0.4 MB ● издатель Light To My Path Book Distribution ● опубликованный 2024 ● Издание 1 ● Загружаемые 24 месяцы ● валюта EUR ● Код товара 9962471 ● Защита от копирования Adobe DRM
Требуется устройство для чтения электронных книг с поддержкой DRM

Больше книг от того же автора (ов) / редактор

141 046 Электронные книги в этой категории